MAELEKEZO – Stop COVID-19

Below are the pattern and directions in Swahili for making a face mask to help protect from COVID-19. Please distribute or email educatetanzaniaATgmail.com for a pdf packet in Swahili or English. Be safe.

The AT in the above email is @.

MAELEKEZO

  1. Upande uliogeuzwa, tengeneza ¼ ambayo ni sehemu ya kufunga mpaka mwisho, halafu funga kwa urefu kuelekea kulia kwako (sehemu zilizogeuzwa pamoja)vuta uzi na funga.
  2. Kila sehemu iliyounganishanishwa, ifunge kwa urefu ili kuhakikisha nyuzi unazikutanisha kwa ajili ya kuzifunga.
  3. Pitisha kwenye matundu yaliyo wazi, shona kwa urefu wa umbali utakaokuwezesha kufunga kwa kutumia bias tape.
  4. Chukua pamba ndogo, isogeze chini kuelekea kulia kwako, ipitishe kuelekea juu kwenye matundu yenye sehemu mbili sawa na ¼.
  5. Chukua sehemu nyingine ya pamba, iweke kulia kwenye ncha ya 9 kwa upande wa juu , zipange kwenye ncha ziliungana, unganisha kati kati kuelekea mwisho kutoka sehemu zilipoanzia kushonwa. Ili zisiweze kuungana, unatakiwa kurudia kuanzia katikati ulipoanzia.
  6. Vipande viwili vishonwe kwa pamoja, chukua vipande viwili vilivyoshonwa viweke na viunganishwe kwa pamoja.
  7. Chukua kitambaa kimoja pitisha chini ya ncha ya sindano, vishone pande zote nne kwa kipimo cha kipimo cha ¼, kisha shona kwa kuacha nafasi katikati ya upande mmoja.
  8. Punguza ukubwa wa maski, fanya kwa umakini ili usikate sehemu ulipokwisha kushona.
  9. Funua maski upande wa kulia, pitia zoezi la hatua ya 7.
  10. Shona upande wa juu kwa inchi 1/8 kwa kupitia maungio katika pembe zote za maski.
  11. Weka maski katika sehemu ambayo unaweza kuiunganisha kwa kutengeneza kitambaa cha ndani (laining) ili kuizungushia.
  12. Tengeneza muundo wa kisu, vipande viwili vyenye alama kwa ajili ya utambuzi ambayo ni 11/4, vifunge iweze kuonekana kwa urahisi.
  13. Shona tena kuzunguka maski yote ili kusaidia kuimarisha mfumo wa ushonaji.
  14. Njia mbadala; kama umetumia (pre made bias tape) na hujashona sehemu unganishi katika hatua zote, unatakiwa kushona ¼ kila unapofikia mwisho kwa kupiga zig gaz.

Thank you Jodi Murray, Created for Crisis and Cequinne Sky, MasksNow for the pattern and directions.

Thank you Mr. Barnabas Salim who translated the directions into Swahili.

Thank you Ms. Janeth Gabagambi and Dr. Gracious Msuya for advisement.

Thank you to Ms. Linda Mambo and KAD in Karagwe, Tanzania.

Email educatetanzaniaATgmail.com if you would like a pdf of this pattern. Specify English or Swahili.

The AT in the above email is @.

___________________________________________________________

 

 

Be part of the story.

Leave a Comment





Sign up for our Newsletter

Be part of the story.

Donate Now